Wasanii wa Kikundi cha Makombora wakiwa katika Jukwaa la Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar wakifanya kweli katika ukumbi wa Mambo Club Ngomekongwe. wakicheza ngoma ya Sindimba
Mambo ya Tambasha la ZIFF Zanzibar likiendelea na maonesho yake katika kumbi mbalimbali na kutoa Burudani.
Wananchi wkiwa katika ukumbi wa Mambo Club wakiangalia maonesho yaliokuwa yakifanytika katika ukumbi huu.usiku.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Sultan King akitowa burudani katika Tamasha hilo.
Msanii Sultan King akilishambulia Jukwaa katika onesho lake katika Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar.
Msanii Sultan King azikonga nyoyo za Wapenzi wake katika Tamasha la ZIFF.
DJ. Saleh akifanya vitu vyake kupanga muziki na kuonesha manjonjo yake katika Tamasha la ZIFF, kulia MC wa Tamasha hilo Muslim. akiangalia.
Msanii Daimond akiingia katika steji kwa aina yake akiwa amezingirwa na wacheza show wake, wakati akitowa burudani katika Tamasha la ZIFF katika viwanja vya Ngomekongwe.
Daimond ndani ya Nyumba katika onesho lake na kuwavutia mashabiki wake wakati akitowa burudani, akiimba nyimbo nimpende nani.
Mambo ya Show hayoooooooooooooo
No comments:
Post a Comment