Mwokoaji akiwa na mmoja wa maiti wa ajali hiyo
Waokoaji wakiokoa moja ya maiti. wakiwa katika boti ya Kilimanjaro.
Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.
Boti ya KMKM ikiwa katika zoezi la kuokowa majeruhi.
Helikopta ya Jeshi la Polisi ikiwa eneo la tukio.
Boti iliozama ni kama hii ni ni pacha wake.
Boti ya Fly ikiondoka katika bandari ya Zanzibar kueleke kutowa msada w uokoaji.
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Hamad Masoud akiwa katika boti ya Kilimanjaro akiwa sehemu ya Tukio ilipozama boti hiyo maeneo ya Chumbe.
Tagi la Shirika la Bandari likiwa katika sehemu ya tukio.
Kaka ahsante kwa juhudi zako za kuturushia picha za matukio ili kutuhabarishakile kilichojiri.
ReplyDeletePicha hizi ni muhimu hasa kwa sisi tulio mbali na eneo la tukio..M/Mungu akuzidishie uwezo ktk zako!
mkuu asantee sana kwa kutupaa matokeoo muhimu kama mara nyingi utumiaa blog yako sana kwa kupata habari za kila siku nyumbani ishallah mola awawekee sehemu njema peponi Amein..
ReplyDelete