Kadri Gazeti la Zanzibar Leo linavyozidi kusambaa katika Mikoa mbali mbali ya Tanzania ndivyolinavyoendelea kujiongezea umaarufu kwa wasomaji.
Huyu ni miongoni mwa mdaumkubwa wa Gazeti hili la Zanzibar Leo akifurahia moja ya Makala Maarufu ya Ramadhani ndani ya mwezi Huu Mtukufu wa Ramadhani.
Baadhiya Watoto wa familia za Wazee wanaotunzwa katika kituo cha Welezo wakijumuika katika futari ya pamoja Kituoni hapo
Baadhi ya ndugu na Jamaa wa Wazee wanaoishi katika Kituo cha Matunzo cha Wazee Welezo wakiwa katika futari ya pamoja wakijumuika pia na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Wazee wa Welezo kwenyeFutari ya pamoja ndani ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kulia yake ni Meya waManispaa ya Zanzibar Abdulrahman Khatib na Kulia ya Balozi ni Mkuu wa Mkoa MjiniMagharibi Mh. Abdallah Mwinyi
Baadhi yaWafanyakazi wa kujitolea wanaotoa huduma katika Kituo cha Matunzo ya Wazee chaWelezo wakiwa na Viongopzi wao wakifurahia futari ya pamoja iliyoandaliwa naMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
No comments:
Post a Comment