Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisaliiana na Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa Serekali ya Mitaa (LAPF) Andrew Kuyeyena, alipofik katika Ofisi za Makamu kukabidhi mchango wao kwa Wananchi waliopata ajali ya Meli ya Skatig w Shilingi Milioni Tano. 
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Suleiman Abdulla awaongoza wateja, wadau
wa NBC kushiriki hafla ya futari Zanzibar
-
-Aipongeza NBC kwa Mchango wa Maendeleo Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla jana aliwaongoza ...
7 hours ago
0 Comments