Habari za Punde

Simba yatoa Ubingwa wa Kombe la Urafiki

 Mgeni Rasmin kartika Mchezo wa Fainali ya Kombe la Urafiki Waziri asiye kuwa na Wizara Maalum Machano Othman, akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Urafiki  Nahodha wa timu ya Simba Juma Kaseja. 
 Kocha wa timu ya Simba akiwa na Kombe la Urafiki baada timu yake kuifunga timu pizani ya Azam.katika  mchezo wa Fainali uliofanyika Uewanja wa Taifa Dar-es- Salaam. 
 Mgeni Rasmin wa mchezo wa Fainali Waziri asiye kuwa na Wizara Maalum Machano Othman akiwa na Viongozi wa ZFA,baada ya mchezo wa fainali kumalizika na kumkabidhi kombe bingwa wa michuano hiyo timu ya Simba, Michuano hiyo imeandaliwa na Chama cha Mpira Zanzibar ZFA, ili kuimarisha uhusiano wa timu ya Tanzania Bara na Visiwani.

Kikosi cha timu ya Azam kilichocheza Fainali na Timu ya Simba katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Urafiki lililoandaliwa na Chama cha Mpira cha ZFA.

Kikosi cha timu ya Simba kilichocheza Fainali na Timu ya Azam  katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Urafiki lililoandaliwa na Chama cha Mpira cha ZFA.


 Wachezaji wa timu ya Azam wakimlalamikia refali kutowa peneti kwa timu ya Simba isivyo halali na kulala,ika kuipendelea simba, peneti hiyo iliifanya simba kusawazisha na kuwa sare ya mabao 2--2.
 Mshambuliaji wa timu ya Simba  akiwapita mabeki wa timu ya Azam katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Urafiki.  
Mshambuliaji wa timu ya Simba akiwa na mpira akijaribu kuwapita mabeki wa timu ya Azam katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Urafiki lililofanyika Uwanja wa Taifa Dar-es-Salaam. timu ya Simba imeshinda kwa Penati.

Mashabiki wa timu ya Simba wakiishabikia timu yao katika mchezo wa Fainali na timu ya Azam.
Mshambuliaji wa timu ya Simba Abdalla Juma, akijaribu kumpita beki wa timu ya Azam Said Morad, katika mchezo wa fainali timu ya simba imeshinda kwa peneti.
Wachezaji wa timu ya Simba wakipasha kabla ya kuaza kwa mchezo

Mashabiki wa Timu ya Simba
Wachezaji wa timu ya Simba wakipasha kabla ya kuaza kwa mchezo



 

Mshambuliaji wa timu ya Azam wakiishangilia timu yao ikicheza na timu ya Simba katika mchezo wa fainali uliofanyika uwanja wa Taifa Dar-es-Salaam..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.