Habari za Punde

Dk Bilal akutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Iran


~Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza Rahimi, walipokutana jana mjini Tehran na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliohudhuri Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi za Siasa ya Kutofungamana na Upande wowote uliomalizika jana mjini Tehran, Iran. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.