Mbwa mwitu kumi na Moja wakipata mlo wao wa mwisho kabla ya
kurudishwa mbugani siku yaAlhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu
lamradi unaojulikana kama Vodacom FoundationSerengeti Wild Dogs Conservation
Project, katika eneo la Nyamuma,
Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa yaSerengeti, mkoani Mara.
Mhudumu
wa Mbwa mwitu hao akiandaa chakula cha mwisho kwa ajili ya Mbwa mwitu kumi na Moja, kabla hawajarudishwa mbugani
siku ya Alhamisi Agosti30, 2012 baada ya
kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi huo, katika eneo la Nyamuma, Magharibi
mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,mkoani Mara
Mbwa mwitu kumi na Moja wakipata mlo wao wa mwisho kabla ya
kurudishwa mbugani siku yaAlhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu
lamradi unaojulikana kama Vodacom FoundationSerengeti Wild Dogs Conservation
Project, katika eneo la Nyamuma,
Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa yaSerengeti, mkoani Mara.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Jamii cha kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom,
Bw. Yesaya Mwakifulefule akiangalia Mbwa mwitu kumi na Moja wakipata mlo wao wa
mwisho kabla ya kurudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la
mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild Dogs Conservation
Project, katika eneo la Nyamuma,
Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
No comments:
Post a Comment