Habari za Punde

Mfuko wa Walemavu kuzinduliwa karibuni


Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu siku ya Uzinduzi wa Mfuko wa Walemavu na kuwataka Wananchi wote pamoja na wahisani waweze kuuchangia mfuko huo ili kuleta mafanikio na maendeleo kwa Walemavu.hafla iliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
 -
 
Mwandishi wa Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali kwa Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui (hayupo pichani)alipozungumza na Waandishi hao kuhusiana na siku ya kuzindua Mfuko wa Walemavu,hafla iliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
 
Picha na Yussuf Simai, Maelezo
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.