Askari wa Kikosi za Zimamoto Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuuzima moto uliokuwa wakiwaka katika maskani ya Kachorora Rahaleo unaosadikiwa kutiwa na watu wasiojulikana usiku wa jana katika maskani hiyo na kusababisha hasara ya mali ya moja ya duka la kutengeneza makochi katika maskani hiyo.
Wananchi wakishughudia moto uliokuwa ukiunguza mali katika maskani ya Kachorora jana usiku.
Mabaki ya Duka la kutengeneza makochi katika maskani hiyo kama inavyoonekana pichani.
Moja ya Uharibifu uliotokea katika maskani hiyo
No comments:
Post a Comment