Habari za Punde

Ajali ya gari na vespa



WANANCHI wakiangalia ajali ya gari iliyogonga vespa na kugonga ukuta wa wa uzio wa jengo la Redio Zanzibar Rahaleo na kuleta uharibivu wa ukuta huo, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.