Balozi mdogo wa China Zanzibar Chen Quiman akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar hawapo pichani Ofisi kwake Mazizini Zanzibar kuhusiana na Mipango ya Serikali ya China kuisaidia Zanzibar katika nyanja mbalimbali za maendeleo na Afrika kwa ujumla.
Mwandishi wa gazeti la Dailynews Issa akiuliza swali katika mkutano huo wa Balozi mdogo wa China Madam Chen Quiman alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari Ofisi kwake Mazizini Zanzibar kuhusu Mipango ya Serikali ya China kuisaidia Zanzibar na Afrika kwa ujumla
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliokuwepo katika Mkutano wa Balozi mdogo wa China Madam Chen Quiman alipokuwa akizungumza nao Ofisi kwake Mazizini Zanzibar kuhusu Mipango ya Serikali ya China kuisaidia Zanzibar na Afrika kwa ujumla
No comments:
Post a Comment