Habari za Punde

Makondakta kusini Pemba wapatiwa Semina kufuata sheria za usalama barabarani

 Sheha wa shehia ya kisiwani, wilaya ya wete mkoa wa kaskazini pemba, Massoud Saleh Juma, akisoma gazeti linalochapishwa na shirika la magazeti ya serekali, Gazeti la Zanzibarleo, huko ofisini kwakwe kisiwani,
 Katibu wa jumuiya ya madereva, mkoa wa kusini Pemba, PESTA, Hafidhi Mbarouk, akitoa taafira fupi ya jumuiya katika mafunzo ya makondakta wa gari za mkoa wa kusini, huko katika ukumbi wa Zanzibar University chake chake Pemba
  Mwenyekiti wa PESTA, Amin Othaman Sharif, akiwa na viongozi wa mbali mbali wa PESTA, akizungumza maneno machache wa makondakta wa mkoa wa kusini Pemba, huko katika ukumbi wa Zanzibar University chake chake Pemba.
 Wanasheria kutoka kituo cha huduma za sheria Zanzibar tawi la pemba, kulia ni Halfan Amour Moh’d, kushoto ni Mwalim Moh’d Hassan, wakipitia sheria mbali mbali ambazo wanataka kuwaeleza makondakta wa gari za mkoa wa kusini Pemba, juu ya usalama wa barabarani, huko katika ukumbi wa Zanzibar University chake chake Pemba.
Makondakta wa gari za mkoa wa kusini pemba wakiwa katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na jumuiya ya PESTA, juu ya kufuata sheria za usalama wa barabarini, huko katika ukumbi wa Zanzibar University chake chake Pemba

Picha zote na Abdi Suleiman, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.