Mchezaji wa timu ya New West, akijaribu kutowa pasi wakati wa mchezo wa Kombe la Karume uliofanyika uwanja wa Gmykhana.
Pata shika katika goli la Lakes mchezaji wa timu ya New West Asia Makame, akimiliki mpira.
Picha ya chini na juu, mchezaji wa timu ya New West ChelseaMoubary, akiwapita walinzi wa timu ya Lakes, wakati wa mchezo wa kuwania Kombe la Karume uliofanyika katika viwanja vya Gmykhana, timu ya Lakes imeshinda kwa Vikapu 70 -- 18.
Mchezaji wa timu ya Lakes Mwanahamisi Said, akimpita mchezaji wa timu ya Lakes.
Kocha wa timu ya New West , akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya nne, katika mchezo wa Kombe la Karume Basketi Ball zinazofanyika katika viwanja vya Gmykhana.
Mchezaji wa timu ya New West akijianda kupiga bao huku mchezaji wa timu ya Lakes Ashura Atanas, akijiandaa kumzuiya.
No comments:
Post a Comment