Habari za Punde

Zantel yatunukiwa tuzo ya mlipa kodi bora

Mwakilishi wa Zantel Zanzibar ambae ni mkurugenzi wa Biashara, Bw Mohammed Mussa akikabidhiwa  cheti cha mlipa kodi bora na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na mipango Omar Yussuf Mzee. 
Mwakilishi wa Zantel Zanzibar Bw Mohammed Mussa akipeana mkono na Naibu kamishna wa TRA Zanzibar Bw Mcha baada ya kukabidhiwa cheti cha mlipaji bora wa kodi kwa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.