Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment