Habari za Punde

Dk Shein akutana na watendaji Wizara ya Miundombinu na mawasiliano

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(wa nne kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.