6/recent/ticker-posts

Dk Shein amwapisha Kaimu Jaji mkuu wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Abdulhakim Ameir Issa,kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments