Habari za Punde

Mkutano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM wafanyika Pemba

 
 WASHIRIKI wa mkutano mkuu wa tano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, uliofanyika hoteli ya Wesha Chake chake Pemba, wakifuatilia na kusikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa
 KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Salim Maulid Salim akitoa maelezo mafupi kwenye mkutano wa tano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar uliofanyika hoteli ya Misali Wesha nje kidogo ya mji wa Chake chake Pemba
 WASHIRIKI wa mkutano mkuu wa tano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapainduzi Zanzibar, uliofanyika hoteli ya Wesha Chake chake Pemba, wakifuatilia na kusikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa
 WASHIRIKI wa mkutano mkuu wa tano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, uliofanyika hoteli ya Wesha Chake chake Pemba, wakifuatilia na kusikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar dk Mwinyihaji Makame Mwadini akizungumza katika ufuguzi wa mkutano wa tano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar uliofanyika hoteli ya Wesha Chake chake Pemba
 NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Agrey Mwanri, akitoa salamu kutoka kwa ofisi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara baada ya ufuguzi wa mkutano wa tano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, uliofanyika hoteli ya Wesha Chake chake Pemba

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) anaeshughulikia Elimu, Kassim Majaaliwa akisalimiana na wajumbe wa mkutano wa ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI na Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, uliofanyika hoteli ya Wesha Chake chake Pemba
 
 (Picha zote na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.