Habari za Punde

NSSF Tanzania yatoa Elimu ya Miradi yake kwa Jukwaa la Wahariri Tanzania.

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Tanzania Dk.Ramadhani .K.Dau, akitowa maelezo ya Malengo ya baadae ya NSSF,kwa Wanachama wake na Jamii kwa ujumla wakati wa semina na Jukwaa la Wahariri Tanzania, uliofanyika katika hoteli ya Sea Cliff Mwangapwani Zanzibar.  
 Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Tanzania Dk.Ramadhani K Dau, akisisitiza jambo wakati wa mkutano na wahariri wa habari Tanzania. katika ukumbi wa hotel ya Sea Cliff Zanzibar.  
 Wahariri wa Jukwaa la Habari Tanzania wakifuatilia mkutano huo.
 Mkurugenzi MipangoUwekezaji na Miradi wa NSSF, Yacoub Kidula, akitowa maelezo ya miradi ya Mfuko wa NSSF kwa Wahariri wa vyombo vya habari Tanzania, wakati wa mkutano ulioandaliwa na NSSF kwa wahariri kutowa maelezo ya mpango wake wa maendeleo kwa Jamii na Wanachama wake.


Mkurugenzi wa NSSF,Dk. Ramadhani K.Dau, akizungumza na waandishi nje ya ukumbi wa mkutano.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.