Hajat Amina Kamishna wa Sensa Tanzania akitoa Taarifa katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi uliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa salamu katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waliohudhuria uzinduzi wa matokea ya awali ya sense ya watu na mazi Mjini Dar es salaam
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wawakilishi wa taasisi na mashirika ya Kimataifa yaliyosaidia sensa ya watu na makazi nchini katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi jijini Dar es salaam.
Uzinduzi wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha
ADA-TADEA Viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja
-
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha ADA -TADEA Mhe. Juma Ali Khatib
(kulia )akikabidhiwa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 ya Chama hicho,
wakati wa U...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment