Habari za Punde

Uzinduzi wa Saccos ya tujipe moyo




Mwenyekiti wa SACCOS ya Tujipe Moyo Safia Maulid Haji akiwasalimia wana SACCOS pamoja na kumkaribisha mgeni rasmi hayupo pichani huko katika ukumbi wa baraza la wawakilishi la zamani.



Katibu Mkuu Wizara ya kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika Bi Asha Ali Abdallah ambae ni mgeni rasmini akiwahutubia wanachama wa SACCOS hiyo ya wadi ya nyerere Jimbo la magomeni Mjini Unguja wanapo kopa mikopo wahakikishe kurejesha ili na wana chama wengine wapate kukopa mikopo hiyo.


Katibu Mkuu Wizara ya kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika Bi Asha Ali Abdallah wanne kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa SACCOS huko katika ukumbi wa baraza la wawakilishi la zamani.
PICHA NA MAKAME MSHENGA – MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.