Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Uongozi wa Juu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar

Mkurugenzi Mkuu wa Tasaf Tanzania Bwana ladislausd Mwamanga akitoa ufafanuzi wa Hataua za Tasaf katika Awamu ya Tatu ya Miradi yake mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
No comments:
Post a Comment