Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea mpira ukiwa ni miongoni mwa
mipira kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo Bi.Sharifa
Khamis Salim,alipofika Ikulu kukabidhi mipira hiyo pamoja na kamati ya
ugawaji mipira hiyo,kutoka mradi wa "ONE WORLD FOOTBALL FOR
AFRIKA",hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanziba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati ya ugawaji Mipira
kutoka mradi wa "ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRIKA",chini ya Mwenyekiti
wake Bi.Sharifa Khamis Salim,pia akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar
wake Bi.Sharifa Khamis Salim,pia akiwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar
Katibu wa Kamati ya Ugawaji wa Mipira ya Mradi wa
"ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRIKA", Khamis Abdalla Said,akitoa maelezo
mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,wakati kamati hiyo ilipofika Ikulu Mjni Zanzibar
kukabidhi Mipira kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,leo.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
maajabu ya dunia, maji na umeme , shule mbovu , hospitali mahututi , mnashereherekea mambo ya mipira , hiv nd sheni hata kama washauri wako wanakupa ushauri kujiingiza kwenye mambo ya kipuuzi wakati mambo muhimu yamekushinda , huwezi kutumia akili yako ya kuzaliwa na maarifa? wala haitaji kuwa jiniasi( genius)
ReplyDelete