Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Dk. Shein Cup Nahodha wa timu ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ali Hassan, baada ya kushinda mchezo wa fainal na timu ya Mkoa wa Mjini kwa mabao. 3--1
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohame Shein, akimkabidhi Kikombekwa timu bora ya Michuano ya Kombe la Dk. Shein Cup Timu ya Kusini Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa nisani kwa timu bingwa wa kombe la Kaskazini Unguja. baada ya kuibuka mshindi wa michuano hiyo kwa mwaka 2013/2014
Mshambuliaji wa timu ya Kaskazini Unguja akimpita beki wa timu ya Mjini katika mchezo wa Fainal ya Kombe la Dk. Shein Cup.
Wapenzi wa timu ya Mjini wakiwa wamepingwa butwaa baada timu yao kungwa na timu ya Kaskazini Unguja.
Mshabiki wa timu ya Mkoa wa Mjini akishangilia timu yake wakati ikiwa imeshafungwa bao moja.timu zikiwa ziko mapumziko.
Kocha wa timu ya Kaskazini Unguja Madundo Mtambwe akitowa maelekezo kwa mvchezaji wake kabla ya kuingia uwanjani kuzindisha mashambulizi kuipatia ushindi timu yake. ikiwa tayari iko mbele kwa mabao 2--0
Viongozi wa CCM wakifuatilia mchezo wa Fainal ya Kombe la Dk.Shein Cup. ikiwa ni kuadhimisha miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM mwaka 1977 mwezi wa Febuari 5.
Wapenzi wa timu ya Kaskazini Unguja wakishangilia timu yao ilipoandika bao la tatu katika mchezo wa fainal uliofanyika katika uwanja wa amaan.timu ya Mkoa wa Kaskazini Unguja imeshinda 3-1
Mchezaji wa timu yaMjini akiteleza wakati akimpita beki wa timu ya kaskazini Unguja, katika mchezo wa fainal.
Viongozi wa timu ya Mkoa wa Mjini wa CCM wakiwa na majonzi baada timu yao kufungwa katika mchezo wa fainal wa kombe la Dk. Shein Cup kwa kufungwa mabao 3--1 na timu ya Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wachezaji watimu ya Mkoa wa Kaskazini Unguja wakishangilia ushindi wao dhidi ya timu ya Mjini katika mchezo wa fainal ya Kombe la Dk.Shein Cup, uliofanyika katika uwanja wa Amaan.
Viongozzi wa Mkoa wa Mjini wa CCM wakifuatilia timu yao ilipokuwa ikicheza na timu ya Mkoa wa Kaskazini Unguja na timu ya Kaskazini imeshinda kwa mabao 3-1
CCM YAFUNGWA NA CUF HAHAHAHA
ReplyDeletehongera mkoa wa kaskazini naona ushindi kama kawa resi za ngarawa na sasa mpira wa miguu kaskazini hureeeeeeeeeeee
ReplyDelete