Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ITC),Jacky Charbonneau,akiongoza ujumbe wa watu wanne waliofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ITC),unaoongozwa na Jacky Charbonneau,ambapo ujumbe huo wa watu wanne walifika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais
Ujumbe wa watu wannne kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ITC),unaoongozwa na Bw,Jacky Charbonneau,(kulia) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko,walipofika Ikulu mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko,walipofika Ikulu mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment