Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Asha Abdalla Juma,akishirikiana na Wanawake wa Jumuiya ya Akina Mama wa CCM UWT katika ujenzi wa Taifa wa Ofisi ya Jumuiya hiyo,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,ujenzi huo wa Taifa ulifanyika leo katika Ofisi ya Jimbo la Mpendae CCM
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Asha Abdalla Juma,akizungumza na Wanawake wa Jumuiya ya Akina Mama wa CCM UWT katika ujenzi wa Taifa wa Ofisi ya Jumuiya hiyo,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,ujenzi huo wa Taifa ulifanyika leo katika Ofisi ya Jimbo la Mpendae CCM.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Asha Abdalla Juma,akishirikiana na Wanawake wa Jumuiya ya Akina Mama wa CCM UWT katika ujenzi wa Taifa wa Ofisi ya Jumuiya hiyo,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,ujenzi huo wa Taifa ulifanyika leo katika Ofisi ya Jimbo la Mpendae CCM.
Picha zote kwa Hisani ya Ofisi ya Jimbo Mpendae
No comments:
Post a Comment