Habari za Punde

Majengo ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Tunguu Zanzibar Wawaaaaaaa.






4 comments:

  1. Ahsante kaka..hebu tuletee picha za zanzibar airport kama imemaliza kujengwa...

    ReplyDelete
  2. Nimependa jinsi walivyokipamba kwa Nature (kupanda miti katika miji na bara bara za Visiwani ni muhimu sana. kwani hii ndio inazuia uharibikaji wa mazingira. kisiwani Unguja kumekua na Joto kali sana kama vile Bara. hii nikutokana na kua na watu wengi kupita mpaka na kukatwa kwa miti mingi.

    ReplyDelete
  3. Majengo yanapendeza na mazingira nayo yanavutia. Tunataraji watoto na vijana wetu watakaopata bahati ya kuhudhuria mafunzo katika chuo hicho watapatiwa elimu bora kwa faida yao na taifa kwa ujumla.

    ReplyDelete
  4. Hongera sana uongozi wa chuo na Zanzibar kwa ujumla

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.