Habari za Punde

Maadhimisho ya May Day Jumatano 01/05/13

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CHAMA CHA WAFANYAKAZI ZANZIBAR (RAAWU) KWA KUSHIRIKIANA NA WIZARA YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI WAMEANDAA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MAY MOSI AMBAYO YATAFANYIKA SIKU YA JUMATANO 01/05/2012 KATIKA UWANJA WA AMANI.
RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO HAYO.
KWA TAARIFA HII WAANDISHI MNAALIKWA RASMI KUJA KUFANYA KAZI ZENU.
IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.