Mvua za Masika zinazonyesha katika sehemu mbalimbali katika kisiwa cha Pemba tayari baadhi ya maeneo hayo yamepata athari na mvua hizo kama inavyoonekana pichani moja ya sehemu hizo zilizopata madhara na mvua ikiwa sehemu ya milima ilioko pembezoni mwa barabara hizo yameanza kuporomoka kutoka na ardhi kushiba maji na sehemu hiyo kumomonyoka kama inavyonekana eneo la barabara ya kwenda Tibirinzi, Chake.
Eneo hilo limemomonyoka na udongo wake kushuka katika sehemu ya barabara hiyo.
Hii sehemu ilikua inatakiwa uzuiwe kwa ukuta wa mawe na saruji ambao utatiwa Msingi mkubwa kutoka chini. Nchi za Norwaya wako nasehemu kama hizo na huwa wanajenga barabara zao kama hivyo.. Sisi Ndio serikali wamepewa Wahafidhuna akina Shuweni.. Tutegemee nini.
ReplyDeleteMikopo yote yaujenzi wa barabara kutoka World Bank na USA under mellenium challenge cooperation - http://www.mca-t.go.tz/ zinaishia kwenye ujenzi wa barabara za Tanganyika na Zanzibar hujengewa Milimi ya paka bila hata Road Sign.