RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA
MWALIMU JULIUS NYERERE
-
PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu
Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada...
4 hours ago
nd kikwete, unaahidi donge nono kwa wachezaji mpira kwa kushinda , wakati ushindi huo hauleti pato wala mafao kwa watanzania ambao wengi wetu tuna njaa , magonjwa ,mashule yetu duni , kwa nini hilo donge usilipeleke kwenye maeneo kama hayo ? hata kama hizo fedha zinatoka kwenye pato lako binafsi sidhani kama ni akili kutangaza hilo donge kwa mambo ya starehe / anasa
ReplyDelete