Mambo ya Ofa Kabambe ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya ZANTEL kwa Wananchi wa Zanzibar katika kujishindia zawadi kemkem katika promosheni ya Kwangua kadi Ujishindie zawadi mbalimbali kama zinavyoonekana katika picha hiyo na mpaka sasa Wananchi wengi wamejishindia zawadi hizo ikiwemo Mordem 3G,Vespa, ikiwa katika wiki ya tatu ya ofa hiyo inayoendelea kuchezwa katika Zenj.
Kazi kwenu Wananchi kuchangamkia Ofa hiyo na kujishindia zawadi kubwa ya gari yenye thamani ya shilingi milioni 15.
No comments:
Post a Comment