Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Mohammed Kidevu, mchezaji wa Zamani wa Timu ya KMKM , Yanga na Timu ya Taifa ya Zanzibar Kidevu usiku wa kuamkia leo amemwagiwa tindi kali na Watu wasiojulikana akiwa katika maeneo ya kwake huko Tomondo jana usiku.
Pichani akipatiwa matibabu katika hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja alikolazwa kwa matibabu na uchunguzi zaidi wa kitaalamu.
Sheha wa Shehia ya Tomonda Mohammed Kidevu akiwa katika wodi ya Hospitali kuu ya Rufaa MnaziMmoja akipata matibabu ya majeraha ya kitu kinachosadikiwa kwa Tindi Kali katika hospitali hiyo.
La haula wala kuwata ila billah, jamani huu ni unyama kabisa, inasikitisha sana kuona watu wanafanya vitu hivi, lakini serikali ijifunze na waangilie chanzo chake ni nini ? Napata picha kwamba wananchi wamekuwa na hasira kutokana na kunyimwa fursa zao muhimu kama kipande cha uzanzibari ambao hawa masheha wamekuwa ndio vikwazo.
ReplyDeleteNachukia sana hili jambo, wafahamu hao masheha walio baki, kwamba athari yao na wanachi, katika suala la ubaguzi.
Mungu mpe uzima huyu mtu, ameen
A/a hili jambo nilikusikitisha ALLAH atakufanyia wepesi!What happened to this man is sickening! pamoja na maswali mengi yakujiuliza.
ReplyDeleteWhy people are acting this way? There is absolutely no justification for this!!!
Ras
Hakuna cha kujifunza hapa Wazanzibari ni washenzi tuu. Kulawiti watoto wadogo wa kiume ndio utamaduni wao; kusagana ndio mila yao na kumwagiana tindikali ndio jinsia zao. Haya twendeni tu. Akhera sio mbali!
DeleteJIHESHIMU NDUGU YANGU KTK WATU MLIOKUA HAMJASTARABIKA KAM WATANGANYIKA HAKUNA MNAUAUNA BILA YA SABABU NA KUSINGIZIA WAZANZIBAR UMSIKIA WAPI SORAGA MZANZIBAR NA MASHEHA WOTE NI WATANGANYIKA
Deletetobaa mtihani huuu.
ReplyDeleteA/a wewe Mh uliandika matusi umejionesha ni mtu Wa aina gani kwani Mzanzibari halisi hawezi kutumia Lugha chafu Kama hizo bila ya kuonesha sympathy ya aina yeyote kwa wasomaji wala kwa muathirika! Pili hizii comments zako zitawafunza nini wasomaji na Jamii kwa jumla! Bear in mind this issue is not about Uzanzibar au Utanganyika but its about Ubinadamu!!!
ReplyDeleteThink about it
Ras
Tumuombee dua mwenzetu Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika msiba huu.
ReplyDeleteIla tuliobaki tujuwe kuwa: Dhalimu hapati kitu zaidi ya khasara. Khasara inaweza kuwa ya mali au ya nafsi.
mungu ampe afueni akaendelee kuvuta bangi
Deletehao masheha nasikia roho mbaya sana haoo wanaona bora kuwahudumia watanganyika na wageni wengine wavamizi wa zanzibar yetu kuliko mzanzibari halisi hasa akisha kukujua si mwanachama wa ccm basi hupati huduma yeyote ile kwa ujinga wao waliokuwa nao hao masheha....ndio maana wazanzibari halisi wamesha wachoka kwa vitendo vyao wananyawafanyia watu wanyonge wa zanzibar.
ReplyDeleteKama wamemtia tindikali kwa sababu ya kunyimwa vipande vya kura uwo ni uzembewao wasizuru watu wasohatia, vilitolewa bure wakajitia jjaziba ulipofika wakati wakujiandikisha walisusa, sasa vitendo hivi vya kikatili mnatuonesha nini au ndio sera yenu mpate muwauwe waunguja? basi msahau hampati ng"o
ReplyDeleteTatizo ni uchaguzi aw mabaraza ya katiba ya Wilaya to mondo ni moja Kati ya sehemu Mbili katika Wilaya ya Magharibi nyengine ni mwanakwerekwe tume imehairisha kutoka na na vurugu za cuf ktk siku ya uchaguzi huo sheha alikataa kuhifadhi usa lama wake na waliapa kumuonyesha nashangaa hakuna waliokamatwa na wanajulikana na Wendi wao wanesaini ktk barua ya malalamko Yao waliopeleka kwa katibu aw halmashauri ya Magharibi na Hilo hakuna wengine ni wao tu waunguja tuamke Tutaonewa hadi lini na wape.... Nasi tuwatie km wawili tena wale macuf maarufu
Deletewe unaejiita Muunguja kama ni kweli unadhani waunguja sote ni waj+++++kama wewe ? au ndo nyie mno faidika watu wa nchi hii wakitafarikiana ? jiangalie vizuri pengine mama yako au baba yako si hasha ana damu ya kipemba....mimi ni muunguja pia ila nchi yangu ni Zanzibar
DeleteA/a Ndugu zangu wapendwa Tuwaache tabia ya kuchochea mambo ya kijinga tumieni fursa ya mitandao kwa kuelimishana na wala sio kwa kugawana Ujinga!!! Natumia neno zuri Ujinga!!!! Ucuf Uccm hivi ni vyama tu lakini ubinadamu ndio bora zaidi na uko pale pale! At the end of day binadamu sio mnyama!! Binadamu kapewa neema ya Akili kwa hivyo tutumieni neema hii kwa mambo ya manufaa!!! Upemba Uunguja tutauwacha hapa hapa duniani!!! Akhera ni aamili zetu tu!!!
ReplyDeleteUkweli unauma Mbona Nyie munatubagua ktk blog yenu ya wapemba na macuf mzalendo nyinyi muck iambic munakasirika sasa panga panga tu Nani kafanya km si macuf kisa eti mabaraza ya katiba
ReplyDeletemhadimMay 23, 2013 at 5:48 PM
ReplyDeleteReplies 23, 2013 at 8:05 PM
Hao wadau 2 walio comment katika muda huo hapo juu
Hao ndio wale watu wanaojaribu kuwagawa wazanzibari baadae wazidi kututawala katika visiwa vyetu....lakini naona wanajizidisha presha tu na hamutofanikiwa kabisa kuwagawa wazanzibari mutabaki na chuki zenu dhidi ya wazanzibari kama walivyokuwa baba zenu kwa vile baba zenu hawakufanikiwa kutugawa na nyinyi ndio hamutushtui kwa sababu tushawajua wabaya wetu katika zanzibar!!!
"NO CHANCE TO ENEMIES PEOPLE WHO WANT TO DIVIDE US FOR THEIR BENEFITS IN ZANZIBAR"
"DIVIDE AND RULE"
"WAGAWE HALAFU WATAWALE"
Nani anayewagawa wazanzibar km si nyinyi kwenu ili uwe mzanzibar uwe Mpemba, muhando, mwarabu eti ukiwa mshamba aw donge namba saba na n.k si mzanzibar uki mapuri, si mzanzibar lakini ukiwa just mzuri ni mzanzibar ushamba huo aluta kontinua tumekustukieni
ReplyDeletejamani msigombane vita vya kunguru.... adui wa visiwa vya znz in MUUNGANO , huu ndio tunaotakiwa tuupige vita na kuuvunja , haya mambo yote ya tindikali na mengineo yatasimama.
ReplyDeletesuala la huyu mtu kumwagiwa tindikali , jawabu lake atakuwa nalo yeye sisi tusiweke dhana , Mtukufu Mola anasema ktk kitabu chake ' hakika dhana.....
Wacha nibebe box wee .
ReplyDeleteI don't understand people fight for king they never met.
Selenunda
ALLAH ampe shufaa
ReplyDeleteSasa kama aduwi yetu ni Muungano kwanini tumwagiane tindikali? Bilashaka ukweli hamjasema kipi au yupi aduwi yetu, kama tuta uana kikatili ndio kuvunja muungano tuwaanze mashekh wetu iwekama kafara, wale waliokondani kwakuwa wale ni watukufu hawana zambi watakwenda peponi na sisi tutapumua aukukohoa kabisa
ReplyDeletehttp://youtu.be/B89Q1oKE7n8 please watch the clip and comment on !!!
ReplyDeleteKila penye watu wanaojiita Bahasani au Baalawi fitina haishi mpaka kiama kwani watu hawa fitina imo ndani ya damu yao. Hivi sasa wako Mtwara angalieni mambo. Hapa kwetu Unguja kabla hawajaingia tuliishi na ndugu zetu wa bara kwa raha mustarehe. Wakati wa hao waarabu wenyewe hawakuruhusiwa kuingia Unguja au wakiingia kwa vibali. Wakati umefika wa kugawana visiwa hivi kila mmoja na chake! Tumeshoka na tabia zao za kinyama.
ReplyDeleteTunaendelea kusisistiza, Visiwa hivi havigawiwi,vitaendelea kubaki kama vilivyo!
ReplyDeleteAliyechoka kuishi hapa ahame! Dunia nafasi imefika kwa kufika..kwanini mnang'ang'ania hapa?
Kama mnapenda kugawa si muanze na familia zenu?
Khabbith!!!!!
A/a Wazee wa Pemba kama mtakumbuka walipeleka madai UN kutaka kisiwa chao!! Na Serikali ya Tanzania iliwafungilia mashitaka kwa kupeleka madai haya!! Sasa Kama na Waumguja ni waume pelekeni!! But bear in mind Pemba kunaishi watu wala hawatokufa eti kwa sababu watafukuzwa na ndugu zao wa Unguja!! Lakini bora ni wape clue kidogo!! Tofafauti kubwa ya Wapemba na Wa Unguja ni.
ReplyDelete1. Waunguja asili yao ni Wabagizi na ndio maana utasikia Mdonge, Mtumbatu, Mmakunduchi,............ hii ni kuonesha Hawa watu Wa Unguja ubaguzi ni jadi yao!
Lakini M Pemba ni Mpemba tuu na Mtatuona hivi hivi.
INSHA-ALLAH ALLAH Atatulinda
Mwisho Naomba Sanahani kwa yeyote nitakae mkera!! But Haya ni mawazo yangu and I feel bad to say this but..... Some of the comments drive me to write this!!!! Sorry everyone!!!
Ndugu yangu kumbuka, Mdonge, Mtumbatu na Mmakunduchi sio makabila, bali ni majina ya maeneo ambamo watu wnatoka.
ReplyDeleteHata Pemba kuna Wakojani, wamtambwe n.k
Lakini hii haiashirii kua watu ni wabaguzi kwani hata hayo wajina watu kwa kawaida kuwa hawajiiti wenyewe bali huitwa na watu wengine katika kuwatofautisha!
Nasema aliyechoka kuishi visiwa hivi ahame asitake kutuletea balaa hapa...na sio ahame Unguja aende Pemba kwani hata huko akileta balaa tutamfikia tuu!!
Hao wazee mbona wametumia njia refu isiyo na tija. Njia rahisi ni ile kuwataka watoto wao wote kuhama hapa Unguja halafu waangalie kma kuna Muunguja angekuja kwenu Pemba kuwataka warudi.
ReplyDeleteYou don't know what are talking about?????
ReplyDeleteYou need to have a big picture!!!!
AnonymousMay 25, 2013 at 3:19 PM
Amakwe walosema wahenga mtwani mtwa hata kama kazaliwa maka,huyo anayesema watumba,wadonge ni wa pagazi nikweli yeye wamembea kiunoni, ikesha tumboni,huko anakojidai kwa nawo.Albukinan,hilojina la Pemba walotoa nihao anao waita wapagazi,na jahazi lamtepe, yani tanga lao lilikuwa javi, hawa wapagazi wamefika mwanzo kuliko wao warabu
ReplyDeleteNakubliana na huyu mdau mwanzo ilkaliwa tumbatu iksha ndio wakenda pemba,tatizo tangu kurudi siasa za vyama vingi, nakukosa madaraka haw warubu wakapata kuwapiga mikwaju wapagazi wao yani wadonge na watumbatu.Sasa wao lazima wajikane, utamkuta mweusi kama mjaluo ukimuuliza kabila lake utisika,baalawi,bahasan,bulkind namengineo
ReplyDeleteThe big picture is we feel safer to live without Wapemba than other way round!
ReplyDeleteATI WE FEEL SAFER TO LIVE WITHOUT WAPEMBA MSENGE MKUBWA WE, WE KWANI MZANZIBARI?
DeleteKWANI WATU WA UNGUJA WALISHAWAHI KUISHI BILA YA KUWA KARIBU NA WENZAO WATU WAPEMBA?
UNAIJUA HISTORIA YA ZANZIBAR WEWE? AU UMELETWA HAPA UNGUJA KWA KAZI YA KUPANDIKIZA CHUKI DHIDI YA WAZANZIBAR HAO WALOKUTUMA WAMEFELI KAWAMBIE WAKUFUNDISHE HISTORIA YA ZANZIBAR KWANZA?
80% YA WATU WA UNGUJA NA PEMBA WAMECHANGANYA DAMU UNALIJUA HILO?
ASILIMIA KUBWA YA WATU WENYE ASILI YA PEMBA WANAOISHI HAPA UNGUJA WAMEZALIWA HAPA UNGUJA NA MABABU NA MABIBI ZAO PIA WAMEZALIWA HAPA UNGUJA.
NDUGU WAZANZIBARI HAWA JAMAA WANAOWEKA HAPA COMMENT ZA CHUKI KATI YA UNGUJA NA PEMBA KUWENI MAKINI SANA HAWA JAMAA SIO WAZANZIBARI NI VIBARAKA WA TANGANYIKA WANAOTUMILIWA ILI KUJARIBU KULETA CHUKI KATI YA WAZANZIBARI KWA LENGO LA KUTUGAWA BAADAE WATUCHEKE KWA FAIDA YAO YA KUTAKA KUZIDI KUTUTAWALA KATIKA VISIWA VYETU.
TOKEA WATANGANYIKA MUANZE KUIVAMIA ZANZIBAR 1999 MUMETULETEA MAMBO YA WIZI, UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA, MAMBO YA NGONO UMALAYA WA KUJIUZA, UCHAFU FUKWE ZA PWANI ZOTE ZINANUKA MAVI NA MIKOJO YENU.
KABLA YA WATANGANYIKA KUANZA KUVAMIA HAPA WAZANZIBAR WATU WALIKUWA WANAACHA MADUKA WAZI WAKIENDA KUSALI NA HAKUNA MTU ANAEWEZA KUIBA, MILANGO YA NYUMBA ILIKUWA INAACHWA WAZI VILE VILE HATA KAMA HAKUNA MTU NDANI MIFUGO YOTE WALIKUWA WANATEMBEA MITAANI KWA RAHA HAKUNA MTU ANAEWAGUSA.
WE FEEL SAFER TO LIVE WITHOUT TANGANYIKANS IN OUR BELOVED ZANZIBAR LIKE IT USED TO BE BEFORE TANGANYIKANS IMMIGRATE HERE.
ReplyDeleteLoving one another for the sake of Allah, and brotherhood in faith, are among the most excellent acts of worship.
Allah will ask on the Day of Judgment: “Where are those who loved each other for the sake of My glory? Today, on a day when there is no shade but Mine, I shall shade them with My shade.” (Muslim)
Sasa Kama wewe unasema you be safer to live without Wapemba! Think about this unless you are not believe in ALLAH!
It's really sad to see Muslim says he will be safer to live without his Muslim brother!!!!
Nafikiri Elimu initajika katika Jamii yetu!!! Simaanishi Kama watu hawajasoma but we need to learn more to have a very good vision na mijadala ambayo italeta Faida nyingi za kidunia na Akhera!!!
Mada za maendeleo, mnashindwa kuchangia lakini UJINGA umefikia comment 32 ambazo ni record ktk blog hii.
ReplyDeleteKujadili baadhi ya mambo ni kuichosha akili pasipo nasababu, mfano, huwezi kujadili eti kama ningekua mwanamke, wakati wewe tayari ni mwanamme!
Ingelikua kila watu wakitofautiana mawazo wanaruhusiwa kugawa nchi kama mnavyofikiria, kusingekua na taifa hapa Duniani.
Na ndio maana tunatumia gharama kubwa za silaha kutokana na watu wanaofikiri kama nyinyi!
Sasa,naanza kupata picha halisi kwamba elimu bure tuliichezea, na hizi ndio gharama zake!
Kama, nyinyi ni watu makini na ambao mnaishi kwa kuzingatia ukweli, mmjue kujadili Z'bar imara bila ya muungano au Z'bar bila ya visiwa vya unguja na Pemba ni USUNGO wa kufikiri!
Acheni unafiki wa Kipemba hapo wa kutu la ngombe na kutumia dini ambayo hamuikuwi. Hebu jiangalieni? Kubagua watu nyinyi ndio dini yenu. Mifano mingi tu ipo. Ukienda kusoma na viumbe hivi suala moja atakalokuuliza: Abaa mwenzetu watoka wapi? Akishakujua wewe ni Muunguja anaanza kukupiga pande. Huu kama sio ubaguzi kitu gani? Kila uchao Wabara nendeni kwetu? Sasa huu ndio uislamu wa Kipemba? Hamna jipya. Ukweli ni ule ule tutaishi vuzuri zaidi bila la nyinyi. Wakati mlipokuwa mko kwenu kulikuwa hakuna kumwagiana tindi kali hapa Unguja. Balaa zote za kijingajinga nyie ndio wahubiri na wafuasi. We believe we will live safer without you guys,
ReplyDelete
ReplyDeleteAnonymousMay 26, 2013 at 10:10 AM
Ooooo!!! We can see its in your blood nothing we can do about it ! Unaonekana umehamia Zanzibar at the maximum of ten years or less!! Nanukuu maneno yako" wakati mlikuwa mko kwenu ilikuwa hakuna kumwagiana tindi Kali hapa Unguja!!" Abaa nwakati gani huwooo" maneno yako haya yanatupa clue of everything!!! Your age, your time in Zanzibar!!! Your mission Kama umetumwa or even your capacity of thinking!!! But I think you are very very very far of your dreams!!!!! Pole sana I feel sorry for you!!! I think you are so so so sad to see Wapemba na Waunguja ni kitu kimoja!!Opppss HATE KILLS MY FRIEND!!!!You just give yourself hard time cos this wont happened kwa Uwezo Wa ALLAH!! You need help!!! My advise to you !! don't follow your desire cos it's the path of Shaittan!! You need to have vision you will succeed!! ALLAH will make easier for us!!! !!
Laana ya kuchoma makanisa na kuuwa mapadri hiyo!
ReplyDeleteMnaanza kukosana ehhh? na bado there should be more to come!..chezea yesu nyinyi?
Na mkisha kugawa hivo vitalu vyanu..na huku msije kutuletea al kaida!
Waunguja, Wapemba tusigombanishwe
ReplyDeleteHizi fitna za ‘Upemba’ na ‘Uunguja’ ni fitna zinazoletwa na watu waliowabaya kwa jamii ya wazanzibari na wasioitakia mema nchi ya jamhuri ya watu wa zanzibar. Lengo lao kubwa ni kuwapotosha Wazanzibari wauzime mjadala wa Muungano. Hawajali iwapo watalitimiza lengo hilo kwa kuyakiuka maadili ya uongozi au ya uandishi.
Ukipitia katika baadhi ya website za waandishi wa habari wa Tanzania bara na Blog za Jamii forum utaona Watanganyika wengi wameshikilia kusema ati iwapo Zanzibar itaachana na Tanganyika basi Tanganyika kutakuwa shuwari lakini Wazanzibari wataanza kubaguana baina ya Wapemba na Waunguja na halafu wataendelea kutafutana asili zao.
Tangu kurudi kwa harakati za wazanzibari za kisiasa na kuongelea zaidi kuhusu uhalali wa muungano wa jamhuri ya Tanzania tumeona waandishi wengi wa Bara wamekuwa wakiyanukuu haya kana kwamba ni maneno yenye ukweli usiopingika.
Walijaribu kusambaza vipeperushi vya fitna na chuki dhidi ya uunguja na upemba lakini hawakufanikiwa malengo yao.
Hizi ni fitna tu; na inatumiwa kuwatisha na kuwagawa Wazanzibari.
Hila yao ya pili ni kuwagonganisha vichwa Waunguja na Wapemba kwa kutumia hoja zisizo na mshiko wowote wa kimantiki. Wanasema wamewapata Wapemba wengi wenye kutaka Muungano uendelee kama ulivyo. Wamewahoji na matamshi yao kusambazwa na magazeti fulani nchini. Huu ni mfano mzuri wa propaganda ya kitoto.
Mathalani, mimi binafsi ni Muunguja na sina hata damu ya Kipemba, lakini sithubutu kumdharau Mpemba hata siku moja; namchukulia kama ndugu yangu wa kuzaliwa na siyo wa kuungana kama Watanganyika.
Hakuna historia inayoonesha kama visiwa hivi viwili viliungana au vilikuwa mbalimbali. Hata enzi hizo za Waarabu vilikuwa pamoja.
Niwakumbushe tu kwamba propaganda za Upemba na Uunguja kwa sasa haziwezi kufanikiwa tena kuwagawa Wazanzibari. Waliubaini udhaifu wao wa kupelekeshwa na kasumba hizo na wamejirekebisha, ndio maana ukakuta Serikali ya Zanzibar sasa inaundwa na mchanganyiko wa watu kutoka sehemu zote za Zanzibar. Lengo la Wazanzibari kwa sasa ni moja tu: kupewa uhuru wa kuamua hatma ya nchi yao. Na hilo linajadilika, kwa maana Zanzibar na Tanganyika ziliungana, lakini Wazanzibari hawawezi na hawana muda wa kujadili kuvigawa visiwa vya Pemba na Unguja, kwa maana hivyo havijawahi kuungana. Vimekuwa nchi moja daima dawamu, na vitaendelea kuwa pamoja daima dawamu.
MDAU KAMPALA