Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini
Tanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Rais
leo asubuhi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini
Tanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi
kuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Uholanzi nchini
Tanzania Dr.Ad Koekkoek,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais
baada kwa kumaliza muda wake wa kazi nchini leo asubuhi.[Picha na
Ramadhan Othman, Ikulu.]
No comments:
Post a Comment