Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raaji'uun.
Tunasikitika kuwaarifu kifo cha Maalim Azam kilichotokea Canada .
Maziko yatakuwa kesho Jumatano June 12 mchana " Adhuhuri" Msikiti wa Salhadin Kennedy na Eglinton
Kwa maaelezo zaidi piga simu 4168263361.
Kwa kuwapa mkono wafiwa watakuwepo katika ofisi ya Zancana iliyopo Reagent park
Shukrani
Wabillahi taufiq
BOARD MEMBER
ZANCANA
CANADA
Ina lilah waina ilah rajiuna,ewemolla mpumzishe peponi mja wako huyu;tunaomba picha japo moja tupete kumjua, mzanzibar mwenzutu huyu olifikwa na mauti akiwa bado yuko ugenini
ReplyDelete