Habari za Punde

Washindi wa wiki ya 6 Promosheni ya Zantel Kwangua na ushinde

 Mshindi wa shilingi Milioni moja taslimu Khalfan Habib Haji kutoka Kidimni, Pemba akikabidhiwa zawadi yake
 Mshindi wa Promosheni ya Zantel Yussuf Khamis Khalfan mkaazi wa Jangombe akipokea zawadi yake ya Vespa aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha
 Mshindi wa Promosheni ya Zantel Juma Ali Kitwana mkaazi wa Kikwajuni akipokea zawadi yake ya Huawei Media Pad aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha
 Mshindi wa Promosheni ya Zantel Nasra Issa Nassor mkaazi wa Gongoni akipokea zawadi yake ya Modem aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha
Mshindi wa Promosheni ya Zantel Said Khamis Juma mkaazi wa Mombasa akipokea zawadi yake ya Modem aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Masoko wa Zantel Mohammed Mussa Baucha

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.