WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,
Said Ali Mbarouk, (mwenye Suti) akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya
Makumbusho, Utamaduni na Urithi wa Oman , Hassan Mohammed Allawik, huko
katika kiwanja cha michezo Gombani kisiwani Pemba
WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na
Michezo, Said Ali Mbarouk, (mwenye Suti) akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya
Makumbusho, Utamaduni na Urithi wa Oman, Hassan Mohammed Allawik, mazungumzo
hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa kiwanja cha michezo Gombani kisiwani Pemba,
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba).
No comments:
Post a Comment