Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi na wananchi
na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,
wakijumuika katika chakula cha futari aliyoiandaa katika viwanja vya
Ikulu Ndogo ya Mkokotoni jana
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema
Shein,(katikati)akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,
katika futari aliyowaalika viwanja vya Ikulu ndogo Mkokotoni
jana.(pili kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa rais Mama Asha Balozi,na
Mkuu wa wilaya ya Kaskazini A Riziki Juma Simai,(kulia).[
Baadhi ya akina mama wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,
wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa
Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu ndogo ya
Mkokotoni.
Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa
Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika chakula cha futari
iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni
jana.{Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment