إِنَّ
فِي الْجَنَّةِ بَابًا يُقَالُ لَهُ الرَّيَّانُ يَدْخُلُ مِنْهُ الصَّائِمُونَ
يَوْمَ الْقِيَامَةِ لَا يَدْخُلُ مِنْهُ أَحَدٌ غَيْرُهُمْ يُقَالُ أَيْنَ
الصَّائِمُونَ فَيَقُومُونَ لَا يَدْخُلُ مِنْهُ أَحَدٌ غَيْرُهُمْ فَإِذَا
دَخَلُوا أُغْلِقَ فَلَمْ يَدْخُلْ مِنْهُ أَحَدٌ )
البخاري ومسلم) .
البخاري ومسلم) .
Amesema
Mtume Swalla Allaahu ‘Alayhi Wasallam
'Hakika
peponi kuna mlango unaitwa Rayyaan humo wanaingia
waliofunga tu
siku ya Kiama. Hawatoingia watu wengine zaidi ya waliofunga na wakimaliza kuingia
tu utafungwa na hatoingia mtu mwengine.'
Imepokewa
na Bukhaari na Muslim
Swaumu zetu zitakubaliwa na Allaah Subhaaanu wata'ala endapo tutafunga kwa ajili ya kupata radhi zake Subhaana tu huku tukiwa na Ikhlaas iliyokamilika katika nafsi zetu
Ewe Mola
tutakabalie Swaumu zetu na utujaalie miongoni mwa watakaoingia katika pepo yako ya Firdaus
kupitia mlango wa Rayyaan.
Aamiyn
Aamiyn
ikiwa vipato vyetu ni vya haramu , kufunga ni bure tu ndugu zangu ,
ReplyDelete