Habari za Punde

Harakati za kujitafutia Futari na Sikukuu Darajani


 Wananchi katika mji wa Unguja wakiwa katikaharakati za kutafuta bidhaa za Vutari katika marikiti kuu ya Darajani, wakati wa jioni bidhaa katikamarikiti hiyo bei yake huwa nafuu tafauti na asubuhi, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo jana jioni.
Wajasiriamali wa biashara ya vitambaa katika maeneo ya darajani kua kali wakiwa katika biashara zao wakiwahudumia wateja, kupata vitambaa kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu kwa watoto wao wakati tukiwa katika kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa ramadhani, harakati katika eneo hilo lmekuwa kubwa kwa wananchi kufuka kupata mahitaji hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.