RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA
MWALIMU JULIUS NYERERE
-
PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu
Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada...
1 hour ago
hivi JK kwani lazima upeleke majeshi yetu nchi za kigeni? huachi kimbelembele bado haya yaliyotukuta hayajatosha , basi kama bado naomba uwapeleke ndugu zako kwanza kuwa mstari wa mbele kwenye kulinda amani, tangu lini amani ikalindwa na wageni , sisi kule sudani ni wageni tu hata ufanye vipi
ReplyDelete