Habari za Punde

Mambo ya Tukuza na Mtandao.

Wateja wa Tukuza wakiwa nje ya ofisi hizo wakisubiri huduma hiyo baada ya kukatika kwa mawasiliano ya mtandao katika kituo hicho na kukosa huduma hiyo kwa muda, baada ya kurudi kwa mtandao huduma hiyo imerudi kama kawaida na kuhudumia wateja wake kupata risiti za umeme wa tukuza.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.