Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Rais wa Marekani Barack Obama wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete akimtambulisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kwa Rais wa Marekani Barack Obama
Makamu wa pili wa Rais , Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Rais wa Marekani Barack Obama wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar leo
Spika wa Baraza la wawakilishi , Zanzibar Pandu Ameir Kificho akisalimiana na Rais wa Marekani Barack Obama wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar leo
Mzee wetu sijui atakua anaongea nini na Obama?...inasemekana ana Diploma ya sheria ya mzumbe ya enzi zileeeee za IDM.
ReplyDelete