Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Gymkana Mjini Zanzibar kuliani kwake ni Mkuu wa Utawala UVCCM afisi ya Zanzibar Mbaruk Mrakib, kushoto Katibu Idara ya Oganaizeshen Asiya Sharifu.
Mwandishi wa habari Jacoub Joseph wa Hits fm radio akimuliza sualia Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka,huko ofisini kwake Gymkana Mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka akisisitiza kitu alipokuwa akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Gymkana Mjini Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
Ni aibu kuwa na vijana kama hawa tutegemee nini? kama viongozi watarajiwa watakao rithishwa ccm, nikama hawa kukurupuka ndio kazi yao katika dunia ya sasa watu wenye taaluma ndio wanao takiwawa watowe maoni na yachambuliwe wao wanasema afukuzwe, ccm,taifa ina viongozi makini wao waachwe wafanye wehu,sisi tunataka kupumua
ReplyDelete