Kampuni ya Azam Marine ikifanya utanuzi wa bandari inayotumia meli yake ya Mv Sea Link ili kuongeza kima cha maji ya bahari katika eneo hilo lilinalotumika na meli yake kwa kupakilia abiri na mizigo katika banmdari hiyo.Kima cha maji katika eneo hilo huwa ndogo wakati wa maji kutoka na kusababashi usumbufu kwa wakati huo.
Elimu : NECTA Yatangaza kuanza kwa mitihani ya Darasa la Saba 2025
-
Na Sophia Kingimali.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi kuanza kwa mtihani wa
kumaliza elimu ya msingi huku likitoa rai kwa jamii na ...
29 minutes ago
Hapa petu pana mambo ya kuisngaza dunia, ikiwa muwekezaji mzalendo ameamua, kujenga, gati, ndogo, kwa ajili ya melizake, kwanini? serekali isimshauri, kwendakujenga, fumba kunaeneo zuri kwa bandari ya kisasa, hatuoni, choyo, kwa wenzetu wanavyo piga hatua ktk kuboresha, mabandari yao yakabiliane na ushindani wasok la dunia, sisi bandari ina mika mia mojanaushei, tunabana hapohapo, kama wanenavyo waimbaji, uchoyo na uzembe wa kufikiri,tunaweka makontina matupu, uwanja wakufikirika malindi, tunangaja, matrela yauwe ndio tutfute tiba, maeneo yapo, kama fumba mbali mpiga duri ipo tujengeni gati la kisasa
ReplyDelete