CCM yawafunda wanachama wake katika itikadi

 Katibu wa Idara ya Uchumi, Jimbo la Mjimkongwe,Zanzibar , Zuwena Suleiman (aliyesimama) akitoa hotuba ya uzinduzi wa darasa la Itikadi kwenye tawi la Shangani mjini zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba

Mkufunzi wa siasa, Ubwa Jaha Ussi (kushoto) akisomesha  historia ya Zanzibar baada ya zinduzi wa darasa la Itikadi uliofanywa na Katibu wa Idara ya Uchumi wa Jimbo la mjimkongwe, Zuwena Suleiman kwenye tawi la Shangani mjini Zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba

Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mjimkongwe Zanzibar jana kimezindua darasa la Itikadi kwa wanachama wake Mafunzo yatakayofanyika kwenye tawi la Shangani chini ya mkufunzi wake Ubwa Jaha Ussi.

Post a Comment

Previous Post Next Post