Copy our Style ya Daraja bovu yatwaa Razza Lee Cup

 Sabri Ali wa Pentagoni (kulia) akichuana na Said Mohamed wa Copy our Style jana.
Picha na Martin Kabemba
 achezaji Adamu Edo wa Copy Our Style (kushoto) na Mrisho haji (kulia) wakimbana mlinzi wa Pentagoni.
Picha na Martin Kabemba
 Masoud Juma wa Copy Our Style akijaribu kuwatoka walinzi wa Pentagoni.
Picha na Martin Kabemba.
Mgeni Rasmi, Berry Black akikabidhi kombe la Razza Lee Cup kwa Nahodha wa timu ya Copy Our Style, Said Mohamed baada ya timu hiyo kuibwaga Pentagoni, bao 1 - 0  kwenye fainali, uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba.

 Vijana wa Copy Our Style baada ya kukabidhiwa kombe na Mgeni Rasmi, msanii Berry Black wa Zanzibar.
Picha na Martin Kabemba.

Umati uliofurika kwenye  kwenye uwanja wa Mao Tse Tung, kushuhudia fainali za Razza Lee Cup mchezo kati ya Copy Our Style na Pentagoni.
Mashindano hayo yalishirikisha timu 16.
Picha na Martin Kabemba

Post a Comment

Previous Post Next Post