Maalim Seif ashiriki katika kuuaga mwili wa Dk Mvungi Dar

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam, baada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt. Sengondo Mvungi

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiuaga mwili wa marehemu Dkt. Sengondo Mvungi katika viwanja vya  Karimjee Dar es Salaam tarehe 16/11/2013.
Jeneza la marehemu Dkt. Sengondo Mvungi. Viongozi mbali mbali walifika viwanja vya Karimjee Dar-es Salaam kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt. Sengondo Mvungi, wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohd Gharib Bilal (hayupo pichani). (Picha na Salmin Said, OMKR

Post a Comment

Previous Post Next Post