Habari za Punde

Rais Kikwete Ahutubia Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Poland.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi wa COP19/CMP9 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Poland, mjini Warsaw. Rais Kikwete alikuwa anazungumza kwa niaba ya viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) katika nafasi yake akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi (CAHOSCC).
Rais Kikwete amekuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo tokea Januari, mwaka huu, 2013, wakati alipochaguliwa na viongozi wenzake kushika nafasi hiyo kufuatia kifo cha aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo, Waziri Mkuu wa Ethiopia, Mheshimiwa Meles Zenawi, Septemba, mwaka jana.
Picha na Ikulu

Coordinator of the Commitee of African Heads of State and Government on Climate Change President Jakaya Mrisho Kikwete addresses the UN Conference on Climate Change (COP19/CMP9) in Warsaw, Poland 
UN Secretary General Ban Ki Moon addresses the UN Conference on Climate Change (COP19/CMP9) in Warsaw, Poland

 The Tanzania delegation to the UN Conference on Climate Change (COP19/CMP9) in Warsaw, Poland

A section of the crowd at  the UN Conference on Climate Change (COP19/CMP9) in Warsaw, Poland

 Coordinator of the Commitee of African Heads of State and Government on Climate Change President Jakaya Mrisho Kikwete with members of the Tanzania delegation at the UN Conference on Climate Change (COP19/CMP9) in Warsaw, Poland

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.