Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini huko Skuli yaMicheweni Wilaya ya Micheweni Pemba,
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya Wazee CCM Mkoa wa kaskazini Pemba,kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa Kassim Mbarouk,aliyoisoma katika mkutano wa Wazee katika ukumbi wa Skuli ya Micheweni,akiwa katika ziara ya Mkoa huo.
Bw,Khamis Othman,akiwa Mzee wa CCM MKoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akifahamisha jambo wakati wa Mkutano wa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Wazee wa Chama Mkoa wa kaskazini Pemba,
Mzee wa Chama cha Mapinduzi Dawa Juma Mshindo wa Micheweni alipokuwa akitoa mchango wake kuhusu namna bora ya kuendeleza Chama wakati mkutano wa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Wazee wa Chama Mkoa wa kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya Mkoa huo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment