Habari za Punde

Dk Shein akutana na uongozi wa Milade Nabii


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza Uongozi wa Jumuiya ya Milade Nabii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa Mazungumzo na Rais leo asubuhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Jumuiya ya Milade Nabii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada ya Mazungumzo na Rais leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.